Semina ya uislamu wa ustarabu

Semina ya uislamu wa ustarabu
Njia ya furaha/saada" inalenga kufafanua njia ya kipekee ya furaha ya milele katika maisha haya na Akhera kwa binadamu wote. Pia inalenga kufafanua vipengele, sababu ambazo zitachukua binadamu kwenye njia ya furaha

jiunga sasa katika semina ya uislamu wa ustarabu, semina hii bure kwa muda maalumu
muda wa semina: Tar. 10-28 Novemba
Mtihani utakuwa: Tar. 28 Novemba

Taratibu za kusajili katika semina 

-sajili kupitia na kiunga:

-jiunga kwa kikundi cha Telegram ya semina kupitia na kiunga:
Telegram - Apps on Google Play
-Kujibu maswali ya mtihani kwa njia ya kimtandao:
-Kupokea Shahada inayo kubalika ya kufuzu semina inayo tolewa na tovuti ya njia ya saada na space chanels .

Kufaidika na mada za Semina na kujifunza:


NJIA IKO WAPI?

Kuumbwa kwa Ulimwengu na Mwanadamu..Hekima, Kukirimiwa na Lengo

JE, MWANADAMU ANA HAJA YA DINI?

MITUME NA MANABII 1

MITUME NA MANABII 2

UJUMBE UNAOBAKIA

UJUMBE UNAOBAKIA 2

NJIA YA FURAHA

NJIA YA ELIMU NA USTAARABU

NJIA YA MAADILI

NJIA YA REHEMA NA UTUKUFU

HII NDIO NJIA

Kikombe cha Usahaulifu

Sitara ya Kimaadili

Haja Yetu ya Imani

Mwanadamu Mtukufu Zaidi

Tabia ya Qur’an

Mustakbali wa Dini Hii

lugha :

العربية | English | বাংলা | Español | فارسی | русский| हिन्दी | Indonesia | አማርኛ
Kiswahili