Uko wapi ndani ya Ulimwengu huu.

Uko wapi ndani ya Ulimwengu huu.

“Picha hii ni ya mkusanyiko mkubwa wa sayari (galaxies) Sehemu yake ndogo huwakilisha sayari na njia zake ni zaidi ya 1,000,000,000,000 ya jua. Na jua ni kubwa kuliko ardhi kwa mara 1,300,000, na ardhi ni kubwa kuliko nyumba yako (kwa mfano mkuwa wa nyumba yako ni 500) kwa mara 1,020,144,000,000 na nyumba yako ni kubwa kuliko wewe mwenyewe kwa mara ngapi.”?!’


Tags: