Mwanamke mbele yao.

Mwanamke mbele yao.

Katika sheria za kale za Kihindi tunasoma: Maradhi, mauti, moto, sumu, nyoka na moto yote vyote hivyo ni bora kuliko mwanamke. Haki ya mwanamke ya kuishi huisha kwa kuisha haki ya mumewe ambae ndie bwana na mmiliki wake. Akiona maiti yake inaungua nae hujitupa kwenye moto ule, vinginevyo ni haki yake kupata laana ya milele.


Tags: