Hakuna tofauti kati ya Muarabu na Muajeni.

Hakuna tofauti kati ya Muarabu na Muajeni.
“Waislamu, hawaonani wageni vyovyote vile watakavyotofautiana mataifa yao, vivyo hivyo katika miji ya Waislamu (Daarul Islam) hakuna tofauti kati ya Mchina Muislamu na Muarabu Muislamu katika kufaidi haki zao. Kwa sababu haki za Kiislamu zinatofautiana na haki za wazungu (Ulaya) na hii ni tofauti ya msingi kabisa.”


Tags: