Kanuni za Pambanuzi Muhimu

Kanuni za Pambanuzi Muhimu

“Qur-aan ina suluhisho la kadhia zote na kuunganisha kati ya sheria za kidini na zile za kimaadili. Huweka na kutengeneza mfumo mmoja wa kijamii na kupunguza kukata tamaa, nyoyo ngumu na uzushi. Kwa hakika unashughulikia kwenye kuunga mkono wanyonge, na kuamrisha watu kuhurumiana. Ama katika uwekaji wa sheria imeweka kanuni katika pambanuzi muhimu ili kusaidiana kila siku na ikaratibu mikataba na mirathi na miamala, ama katika uwanja wa familia umemuwekea kila mtu mfumo wa kuamiliana na watoto na watumwa, wanyama, afya na mavazi…..n.k.


Tags: