Mwenye kuwatoa wanadamu kutoka kwenye kiza hadi kwenye nuru.

Mwenye kuwatoa wanadamu kutoka kwenye kiza hadi kwenye nuru.
“Nabii Muhammad aliwafikisha viumbe kwenye kiwango cha juu zaidi cha furaha kwa haraka sana. Na atakayeangalia kwa jicho la busara na uoni wa kina katika hali za wanadamu kabla ya hapo na upotofu waliokuwa nao, na akaangalia hali zao baada ya hapo na yaliyowakuta katika zama zao katika maendeleo makubwa utaona tofauti kubwa kati ya hali mbili hizo kama ilivyo kati ya mbingu na ardhi.”


Tags: