Mafunzo kutoka katika Hijja ya kuaga.

Mafunzo kutoka katika Hijja ya kuaga.
“Muhammad alihiji Hija ya kuaga kutoka Madina kwenda Makkah kabla ya kifo chake kwa mwaka mmoja. Wakati huo alitoa mawaidha makubwa kwa watu wake. Sentensi ya kwanza tu aliondosha mbele yake yote waliyokuwa nayo Waislamu kama vile unyang’anyi, uizi, kulipiza kisasi, na umwagaji wa damu, na paragrafu ya mwisho alisisitiza usawa kati ya muumini wa Kihebeshi na Khalifa wa Waislamu. Kwa hakika aliweka msingi mkubwa Ulimwenguni kwa ajili ya kuamiliana kwa uadilifu na ukarimu.”


Tags: