Kanuni na Maadili

Kanuni na Maadili
“Akida ya Kiislamu haitofautishi kati ya wajibu wa kisheria na ule wa wajibu wa tabia njema. Kwa hakika mjumuisho huu ulioratibiwa vizuri kati ya sheria na tabia njema huthibitisha nguvu ya mfumo huu tokea mwanzo.”


Tags: