Kuijaza Roho Tupu

Kuijaza Roho Tupu

“Katika kipindi fulani cha maisha yangu, Mwenyezi Mungu amenipa elimu kubwa na rehema nyingi baada ya adhabu na maumivu yaliyonipata baada ya kuwepo na matayarisho makubwa kwangu na kujaza roho tupu ndani ya nafsi yangu. Hivyo nikasilimu, na kabla ya kuwa Muislamu sikuwa ninajua ndani ya maisha yangu maana ya mapenzi lakini mimi baada ya kusoma Qur-aan nilihisi rehema nyingi pana na mapenzi yakinifunika. Nikaanza kuhisi mapenzi yaliyodumu ndani ya moyo wangu. Kilichoniongoza kwenye Uislamu ni mapenzi ya Mungu ambayo hayazuiwi.”


Tags: