Upekee wa Mungu

Upekee wa Mungu
“Kila wigo wa elimu unapopanuka huongezeka dalili na uthibitisho wa uwepo wa hekima ya Muumba mwenye uwezo usio na mipaka na wanazuoni wa ardhi, taasisi mbali mbali, sayansi ya mazingira halisi na hesabu hujitahidi katika tafiti na ugunduzi wao kila chenye kulazimu ili kuanzisha hekalu la elimu ili kunyanyua neno la Muumba.”


Tags: