Unateka Mioyo

Unateka Mioyo
“Baada ya kusoma dini mbali mbali ulimwenguni nimefikia kwenye matokeo kuwa Uislamu ndio dini pekee inayowaathiri wale ambao wameiamini. Hata wale ambao hawaiamini kwa usawa vile vile. Kitu kikubwa katika Uislamu ni kuwa kinateka nyoyo za watu kwa sura ambayo mtu hawezi kutambua. Kwa ajili hiyo tunaona katika Uislamu mvuto wa ajabu na msukumo mkubwa ambao unawavuta wenye akili zilizofunguka miongoni mwa wasio Waislamu.”


Tags: