Ukweli Ulio wazi Zaidi

Ukweli Ulio wazi Zaidi
“Utafiti wangu kwa ajili ya kupata shahada ya uzamifu (PhD) ilikuwa kuhusu Malezi na kujenga Ummah. Nimegundua kuwa nguzo za Kiislamu za msingi zimeweka misingi mikuu na kanuni madhubuti ili kurudisha jengo la Ummah kijamii, kiuchumi na kiroho.


Tags: