Mimi ni mwanadamu kama nyinyi.

Mimi ni mwanadamu kama nyinyi.
“Ama kwa hakika Muhammad haiba halisi ya historia, bila yeye Uislamu usingeweza kupanuka na kuongezeka… wala hakusita hata mara moja kusema kuwa yeye ni binadamu kama wengine mwisho wake ni mauti, na kuwa yeye anatafuta msamaha na maghufira (kufutiwa dhambi) kwa Mwenyezi Mungu. Hata kabla ya kifo chake alitaka kusafisha dhamira yake kwa kila kosa dogo alilolifanya. Akasimama mara moja akihutubia: “Enyi Waislamu, kama nitakuwa nimempiga yeyote huu hapa mgongo wangu mtu alipize kisasi chake, au nimemnyang’anya mali yake basi mali yangu ni miliki yake.”


Tags: