La Ilaha Illallah Muhammad Rasulullah

La Ilaha Illallah Muhammad Rasulullah
“Utakapomjua Allah na kuamini uwepo wake: Hapo Uislamu utakuambia: “Hakika Allah yupo karibu yako zaidi kuliko mshipa wa koo. Hivyo basi hakuna haja ya kiunganishi baina yako na Muumba wako. Wala hapana haja ya kuwepo kuhani ambae utakiri makosa yako kwa hivyo atakubali toba yako au hekalu ambalo ibada haitotimia isipokuwa ndani yake tu.”


Tags: