Injili ya Mathayo

Injili ya Mathayo
“Akajibu, akasema, “Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea katika nyumba ya Israeli.” Na alipowachaguwa watu kumi na wawili ili wakawalinganie mayahudi aliwausia: “Hao Yesu aliwatum, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Na katika kuenda kwenu, hubirini mkisema, Ufalme wa mbingu umekaribia.”


Tags: