Msikiti…Chuo Kikuu

Msikiti…Chuo Kikuu

“Ndivyo misikiti ilivyokuwa hapo kabla (hata leo hii baadhi yake) imekuwa ni vyuo vikuu vya Kiislamu: Ni mshangao mkubwa kwa wanafunzi waliojawa na katika elimu. Wanafunzi ambao wamekuja kusikiliza mihadhara ya wanazuoni katika elimu za dini, sheria, falsafa, tiba na hesabu. Na kwa hakika wanazuoni wenyewe wamekuja kutoka pande zote za Ulimwengu ambao walikuwa wakizungumza lugha ya Kiarabu, nao walikuwa wakimkaribisha kila mwanafunzi bila kujali utaifa wake.”


Tags: