Rosemary Howe

quotes:
  • Jibu Toshelevu
  • “Katika kutekeleza mafundisho ya dini ya Kiislamu mwanadamu anagundua tabia yake na haiba yake ya kweli ya kibinadamu na atajua dhati yake. Uislamu ni dini pekee ambayo imempa majibu yenye kukinaisha kwa maswali yangu yenye kutatanisha.”


  • Majibu Toshelevu.
  • “Nimepata katika Uislamu majibu yenye kutosheleza kuhusu mas-ala tata ya roho na maada: Nikafahamu kuwa kiwiliwili kina haki kwetu kama ilivyo roho. Na kuwa mahitaji ya kiwiliwili katika mtazamo wa Uislamu ni silika asilia ambazo zinapaswa kushibishwa ili mwanadamu aishi akiwa ni mwenye nguvu na mwenye uwezo wa kuzalisha.