Nassry Salhab

quotes:
  • Hazifanani.
  • “Hakuna mfano wa Uislamu, dini ambayo imetukuza Manabii na Mitume ambao walikuja kabla ya Mtume Mwarabu. Dini hii imewataka waumini wake kuwatukuza watu hawa na kuwaamini. Hakuna dini iliyo sawa na Uislamu katika kuheshimu dini zingine zilizoteremka ambazo zilitangulia katika kuteremka na Wahyi.”


  • Ukubwa wa Uislamu
  • “Uislamu hauhitaji kalamu zetu kwa ufasaha wowote ule kalamu zetu zitakaoufikia. Lakini kalamu zetu zinauhitajia Uislamu, kwa yale ambayo Uislamu unayo kama vile utajiri wa kiroho na kimaadili kutoka kwenye Qur-aan yake nzuri ambayo kwake tunaweza kujifunza mengi.”