Naseem Souza

quotes:
  • Uislamu… Ni amani na salama
  • “Mayahudi chini ya bendera ya Uislamu walipata amani na uadilifu ambayo iliwazuia na shari ya uadui na kukandamizwa, na Karne nyingi zilipita wakiwa katika kheri nyingi.”


  • Furaha kwa Wanadamu.
  • “Inatupasa kupotea kwenye fikra kuwa maendeleo ya Magharibi kwa sasa yamefeli kwa sababu ya kuridhisha nafsi za watu na ilishughulikia katika kuleta furaha ya kibinadamu kwa hiyo ikawatupa watu katika shimo la kuangamiza na kumaliza kila kitu. Ni mbali hali hii kusifika kwa ukamilifu, au iwe nyenzo ya kumtumikia mwanadamu kama ilivyokuwa katika zama za Uislamu.”


  • Kina katika Ustaarabu wa Magharibi
  • Mwanadamu ambae ameingia ndani ya ustaarabu wa Kimagharibi na akadiriki undani wake na akaupima kwa kina kinadharia na kivitendo hana budi kufuata kwa nguvu ndani ya nafsi kwenye imani ya Kiislamu ili akate kiu yake.”