David Parton

quotes:
  • Wanadamu ni Wanyama wanapokataa Dini.
  • Katika takwimu katika moja ya vyuo vikuu nchini Marekani ambavyo yaliandikwa katika kitabu (Amerika ina swali au haiswali) ya David Parton kuwa: -Asilimia themanini 80% ya wanawake Marekani hubakwa mara moja katika maisha yao!! -Idadi ya wanawake wenye kubakwa kila siku ni zaidi ya wasichana 19000. Matokeo ya hilo ni kuwa kiasi cha asilimia thelathini 30% ya wasichana huko Marekani ima hupata mimba au hutoa mimba au kujifungua katika umri wa miaka kumi na nne. -Asilimia sitini na moja (61%) za ya hali ya kubakwa ilikuwa kwa wasichana chini ya miaka kumi na nane. -Asilimia 29% ya ubakaji ilikuwa kwa watoto chini ya miaka kumi na moja