Aristotle

quotes:
  • Ni Jeuri gani hii?!!!
  • “Mwanamke kwa mwanamume ni kama mtumwa kwa bwana wake. Au ni kama vile kazi za mikono ukilinganisha na kazi za akili. Au ni kama mfano wa Mshenzi na Myunani. Mwanamke ni mwanamume mpungufu, ameachwa amesimama katika daraja la chini kwenye ngazi ya maendeleo.”


  • Hakuna Usawa.
  • “Aina mbaya zaidi ya kukosekana usawa ni kujaribu kusawazisha kati ya vitu visivyo sawa.”