Agano la Kale (Torati)

quotes:
  • Hakuna Mungu ila Allah.
  • “Sikiza, Ee Israeli; Bwana, Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja..” (6:4).


  • Bwana Mmoja
  • “Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa BWANA ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye” (Kumbukumbu la Torati) 4:35). “Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine zaidi yangu mimi hapana Mungu.” (Isaya 45:5).