Justin Barret

quotes:
  • Imani ya Mungu ni maumbile (Fitra).
  • “Akili zinazokuwa katika hali ya kawaida kwa watoto zinawafanya kuelekea katika kumuamini Mungu Muumba, badala ya makuzi ambayo sio ya kawaida ya akili za binadamu na ugumu wa kukubali na kudhibiti.”


  • Uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
  • “Kwa hakika watoto wadogo muelekeo uliotangulia wa kumuamini Mungu. Kwani wao huzingatia kuwa kila kilicho katika Ulimwengu huu kimeumbwa kwa sababu. Hata kama tukiwatupa watoto peke yao kisiwani na wakaishi wenyewe bila shaka watamuamini Mwenyezi Mungu.”