Magnus Maclees

quotes:
  • Hoja yenye nguvu
  • “Ni vigumu kwa mwanadamu kuleta taswira ya mwanzo wa uhai au kuendelea kwake bila ya kuwepo nguvu yenye kuumba yenye kutawala. Na mimi ninaamini kuwa Wanafalsafa katika tafiti zao za kifalsafa kuhusu maisha wamefumbia macho hoja yenye nguvu kuhusiana na mambo yalio katika Nidhamu (utaratibu) wa ulimwengu huu.
Tags: