Najimu Ramoni

quotes:
  • Kamwe Havipo pamoja
  • “Sikuwa na hiari katika kulinganisha kati ya msingi wa tawhidi ya Allah katika taswira ya Qur-aan pamoja na itikadi ya utatu kama Mkristo. Nikaona kuwa msingi huu wa pili upo duni sana kulinganisha na msingi wa Uislamu. Na kutokea hapo kwa dhati kubwa nikaanza kupoteza imani ya Ukristo kwa kuzingatia kuwa kumuamini kwangu Allah ndio mwanzo na muhimu zaidi katika dini yoyote: Kwa hiyo Ikiwa kumuamini kwangu Allah nimekosea katika ufahamu wa dini sahihi, maana yake ni kuwa kila kitu kinakuwa ni mchezo ambao hauna maana.”