-Mfalme Henry wa Nane

quotes:
  • Sheria za Mwanadamu zinadhulumu na ni jeuri.
  • “Mfalme Henry wa nane alitoa kanuni ya kuharamisha mwanamke kusoma kitabu kitakatifu. Kama ambavyo mwanamke alikuwa akihesabiwa katika Sheria za jumia za Kiingereza katika mwaka 1850 kuwa si katika raia wake wala hawakuwa na haki zao binafsi, wala hata haki ya kumiliki nguo zao wala katika mali zao walizopata kwa jasho lao.”