Louis Saidou

quotes:
  • Dina ya Maadili
  • “Hakuna aya ambayo utaikuta katika Qur-aan ila ayah hiyo inapelekea katika mapenzi makubwa kwa Mungu na himizo kubwa katika mambo mema kupitia misingi hiyo mahususi kwa mfumo wa kimaadili, ndani yake kuna wito mkubwa wa kuhurumiana na makusudio mema na kupatana kutokana na kushutumiana. Hata hivyo ndani yake kuna kujiona na ghadhabu na ishara kuwa dhambi huenda ikawa ni kwa kufikiri na kuangalia na ndani yake kuna himizo katika kutimiza ahadi hata ikiwa ni pamoja na makafiri. Kuwa mpole na kunyenyekea. Maneno yote hayo yaliokusanya ambayo yamejaa yanatosha kuwa ni hekima na muongozo kwa kuthibitisha usafi wa misingi ya kimaadili katika Qur-aan. Kwa kuwa ndio yenye kuona kila kitu.”