-Lady Evelin Cobbold

quotes:
  • Kujivua kwa ajili ya Mungu.
  • “Pamoja na kuwa Muhammad alikuwa ni bwana katika Bara Arabu: Hakufikiria lakabu, wala hakushughulika kuyakuza, bali aliendelea kuwa katika hali yake akitosheka kuwa yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na kuwa yeye ni Mtumishi wa Waislamu: Husafisha nyumba yake mwenyewe na hushona viatu vyake kwa mkono wake, alikuwa ni mtu mwema na mkarimu kama vile mapito ya upepo, hukusudiwa na fukara yoyote wala mtu dhalili ila atampa alichonacho, na alichonacho kilikuwa ni kidogo kisicho mtosha yeye mwenyewe.”.