Jan Lake

quotes:
  • Ni Rehema iliyozawadiwa watu
  • “Maisha ya Kihistoria ya Muhammad hayawezi kupata wasifu mzuri zaidi ya ule alioueleza Mwenyezi Mungu pale aliposema: “Na hatukukutuma isipokuwa rehema kwa Walimwengu.” Yatima Mtukufu ametoa rehani Nafsi yake kuwa yeye ni rehema kubwa kwa kila mnyonge na kila mhitaji. Muhammad alikuwa rehema kweli ya yatima, wapita njia (wasafiri), waliopatwa na maafa, fukara wote na wafanyakazi wa kima cha chini wenye tabu na usumbufu.”