Henri de Castriesry

quotes:
  • Qur-aan ni muujiza.
  • Al Qur'an menguasai pikiran dan mengambil kumpulan hati, ia telah turun kepada Muhammad sebagai bukti kebenarannya


  • Dini ni Moja.
  • “Dini ya Manabii wote ilikuwa ni moja tu: Wao ni wamoja katika mwendo wao tokea Adam hadi Muhammad, vilishuka vitabu vitatu toka mbinguni navyo ni: Zaburi, Torati na Qur-aan. Mfano wa Qur-aan kwa torati ni mfano wa torati kwa Zaburi. Muhammad kwa mtazamo wa Issa ni kama vile Issa kwa mtazamo wa Mussa, lakini jambo la muhimu kulifahamu ni kuwa Qur-aan ni kitabu cha mwisho kutoka mbinguni imeteremka kwa watu na mwenyewe (Muhammad) ni Mtume wa mwisho. Hakuna tena kitabu baada ya Qur-aan wala Nabii baada ya Muhammad.”


  • Mtume Umiyi (Asiyesoma Yaliyoandikwa).
  • “Akili inashangaa! Iweje ayah zile zitoke kutoka kwa mtu asiyeweza kusoma yaliyoandikwa. Watu wote wa Mashariki wamekubali kuwa ni ayah ambazo fikra ya mwanadamu haiwezi kuleta mfano wake kwa lafudhi na maana.”