Cat Stephens (Kwa sasa Yusuf Islam)

quotes:
  • Dalili ya Furaha
  • “Sikujua furaha hapo kabla. Tokea nianze kusoma Qur-aan nami nilijiuliza hali ninashangaa, kwanini watu wanakwenda bila muongozo kwenye dunia hii hali ya kuwa dalili na mwanga ipo mbele yao.”?!


  • Amani ya Ulimwengu.
  • “Taarifa ya Qur-aan kuhusu Muumba wa Ulimwengu ilinitingisha: Nimeufahamu Uislamu kupitia Qur-aan, na sio katika matendo ya Waislamu. Enyi Waislamu kuweni Waislamu wa kweli ili Uislamu uweze kuenea ulimwengu. Kwani huo ni amani kwa ulimwengu wote.”