Cardinal Koenig

quotes:
  • Jibu lenye kutosheleza.
  • “Historia ya dini kwa ujumla, na historia ya Tawhid haswa hutudhihirishia kuwa kumuamini Allah peke yake ni jibu tosha la kipekee la kila swali kuhusu ya Ulimwengu na ubinadamu na lengo la uwepo wao, haiwezekani maisha ya mwanadamu\yakawa na lengo ila Allah peke yake. Na kila ibada na dini kwa mwanadamu lengo lake ni asili ni iwe mtu anajua au hajui –humpelekea katika kumuamini Mungu mmoja.”