Anatoli Andrbush

quotes:
  • Dini ya Utulivu.
  • “Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimehisi amani na utulivu na kuwa ndani ya maisha yangu kuna thamani. Nimefahamu maana ya kuwa Mungu (Allah) ambae humuoni yeye anakuona popote uwapo na huangalia matendo yako na huyapima kwa vipimo vya uadilifu ili upate malipo yako ya haki Siku ya Kiama.”