Home /vishahidi /Ulahidi (Kumkana Mungu)… ni aina ya Upumbavu

Ulahidi (Kumkana Mungu)… ni aina ya Upumbavu


“Kumkana Mungu ni aina ya Upumbavu: Ninapoangalia utaratibu wa jua ninaona kuwa ardhi imekaa sehemu inayostahiki kutoka kwenye jua, ambayo inayoiwezesha kupata kiasi cha kutosha cha joto na mwanga, na hii bila ya shaka halijatokea ghafla.”