Sydney Fisher

quotes:
  • Kitabu Chenye Kukusanya
  • “Kwa hakika Qur-aan ni kitabu cha elimu, malezi na utamaduni, haina maana kwamba yote yaliyomo ndani yake ni maneno kuhusu faradhi za Swala na Ibada. Mambo mema ambayo Qur-aan inahamasisha Waislamu mambo mema kabisa katika mizani ya maadili mema. Muongozo wa kitabu hiki unaonekana zaidi katika makatazo yake, kama yalivyo wazi katika maamrisho yake pia.”